Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Kibaga Shule, Dar Es Salaam


Tabata, Ilala, Dar Es Salaam
18 hours ago
Sh. 600,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
AirBnb
Umeme
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Paving Blocks
Karibu na Barabara
Maelezo
Apartment nzuri sana inapangishwa bei 600000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6. Ina nyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom. Sebule. Jiko lenye makabati na public toilet. Umeme na maji unajitegemea. Parking bubwa. Garden nzuri sana na ya kupendeza. Peving block. Reserve water tank. Air-condition & fan. Electric fence. Kutoka kituoni dakika 1 hadi 2 hivi. Hii apartment ipo maeneo ya tabata kinyerezi kibaga shule dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii
