Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Muhanga, Dar Es Salaam


Tabata, Ilala, Dar Es Salaam
16 days ago
Sh. 350,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Umeme
Luku Inajitegemea
Maji
Mita ya Maji Inajitegemea
Parking Space
Uzio
Maelezo
Hii apartment inapangishwa bei 350000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom. sebule. Jiko. Public toilet. Umeme na maji unajitegemea. Parking bubwa. Usalama wa kutosha. Hapa kuna apartment 4 tu ndani ya fence. Location tabata kinyerezi muhanga dar es salaam
Calls/Whatsapp 0653233641 au 0768682919
Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii
