Tafuta

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Zabika, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Tabata, Dar Es Salaam
53 minutes ago
Sh. 300,000/month

Maelezo

Apartment mpya na nzuri sana inapangishwa bei 300000 kodi kuanzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom, sebule, jiko, public toilet, umeme na maji unajitegemea, parking, reserve water tank, hii nyumba ni ya pili kutoka barabara ya lami, Location ya tabata kinyerezi zabika dar es salaam

Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service charge tsh 20000
Au malipo ya dalali

Matangazo yanayofanana Tabata, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata Kinyerezi Zimbili, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

  • Maji

  • Luku Inajitegemea

  • Makabati ya Jiko

Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata Kinyerezi Zimbili, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

  • Maji

  • Luku Inajitegemea

  • Makabati ya Jiko