Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Segerea Sanene, Dar Es Salaam
Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
1
Barabara ya Karibu
3m
Huduma na Sifa
Maelezo
π APARTMENTS FOR RENT β TABATA SEGEREA SANENE
β¨ Apartments 2 kwenye compound
π Dakika 3 tu kwa miguu kutoka barabara kuu
πΉ Vyumba 2 vya kulala (1 Master)
πΉ Sebule
πΉ Jiko la makabati
πΉ Public toilet
πΉ LUKU binafsi
πΉ Maji ya kisima na DAWASA 24hrs
πΉ Reserve water tank
πΉ Mazingira mazuri
π° Bei: Tsh 400,000 kwa mwezi
π Service charge: Tsh 20,000 kuja kuona nyumba
π Kodi ya mwezi mmoja kwa wakala dalalibeda_tabata
π Kwa maelezo zaidi:















