Beach Plot kinauzwa Makunduchi Kigaeni, Zanzibar - Unguja South (2800 sqm)







Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA MAKUNDUCHI KIGAENI
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka Beach/Pwani Mita 350
Umbali mpaka Barabarani Mita 100
Njia Pande 2
Foundation ya Fensi Upande 1
Ukubwa wa Kiwanja Mita 80x35
Bei Tsh 45 Milioni arobaini na tano
NB: Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na video picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 350
What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake







