Tafuta

Beach Plot kinauzwa Matemwe Kigomani, Zanzibar (1200 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Matemwe, Zanzibar
20 days ago
Sh. 65,000,000

Aina

Beach Plot

Beach Plot for sale in Matemwe

Ukubwa

1200 SQM

Barabara ya Karibu

500m

Huduma na Sifa

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA MATEMWE KIGOMANI
#unguja #zanzibar

Kiwanja kipo baada ya Barabara/Hifadhi ya barabara

Kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 500

Ukubwa wa Kiwanja Mita 48x25

Bei Tsh 65 Milioni sitini na tano

NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni Mita 500

What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake