Tafuta

Duka linapangishwa Mbagala Mission, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 250,000/month

Huduma na Sifa

Karibu na Stendi ya Mabasi
Mpya
Office Space
Tailoring Shop
Salon
Phone Repair Shop

Maelezo

FREM/MADUKA/OFISI ZINAPANGISHWA,
MBAGALA- MISSION.

Hapa tuna Maduka 12.
Ukubwa unatofautiana,
Kadhalika na Kiwango cha Kodi kwa Mwezi.

Kubwa Kodi kwa Mwezi ni Tshs.250,000.
Ndogo Kodi kwa Mwezi ni Tshs.150,000.

Ni mpya na zipo Kituocha Daladala.

Inahitajika Kodi ya kuanzia MieI 6 na kuendelea,
Ilipwe MWANZO WA MKATABA.

Panafaa Shughuli kama:
Ofisi, Mafundi Nguo(Charahani)
Wasusi,, Mafundi Simu nk.

WAHI UJICHAGULIE ITAKAYOKUFAA.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

____________dgmss

Matangazo yanayofanana Mbagala, Dar Es Salaam