Duka linapangishwa Mwenge, Dar Es Salaam
Mwenge, Dar Es Salaam
19 hours ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
π₯ FREM INAPANGISHWA β MWENGE π₯
Unatafuta frem ya biashara eneo la uhakika? Hii hapa! π
Frem nzuri sana ipo Mwenge kwenye mazingira yenye movement kubwa ya watu na biashara kuchangamka kila siku. Inafaa kwa biashara yeyote unayotaka kuanzisha au kuhamishia.
π° Bei: 300,000/= kwa mwezi
π§Ύ Service Charge: 30,000/=
π Location nzuri sana ya kibiashara
β
Biashara yeyote ruksa
π Call:















