Duka linapangishwa Mwenge, Dar Es Salaam

Maelezo
🔥 FREMU INAPANGISHWA – MWENGE NEAR STAND 🔥
📍 Mwenge karibu na stand
💰 Tsh 500,000 kwa mwezi
✅ Fremu nzuri kwa biashara
✅ Location nzuri yenye mzunguko mkubwa wa watu
✅ Inafaa kwa shop, office, salon na biashara nyingine
✅ Rahisi kufikika na inatizama eneo zuri
📞 Mawasiliano: 0678512666
💵 Service charge ipo
⚡ Wahi kabla haijapangishwa!















