Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Huduma na Sifa
Maelezo
π’ FREM INAPANGISHWA β SINZA π’
π₯ Bei: TZS 400,000/= kwa mwezi
Unatafuta frem smart na ya kisasa kwa biashara yako? Hii ndiyo nafasi sahihi!
β
Frem smart sana
β
Muonekano mzuri na wa kuvutia
β
Inafaa kwa biashara yoyote
β
Ipo sehemu nzuri sana ya biashara
β
Mazingira yenye mzunguko mzuri wa wateja
π° Service Charge: TZS 30,000/=
π Call:
Wahi kuipata kabla haijapangishwa!
#FremInapangishwa #Sinza #Biashara #DarEsSalaam















