Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 FREMU KUBWA INAPANGISHWA – SINZA 🔥
📍 Sinza
💰 Bei: Tsh 800,000 kwa mwezi
🧾 Service Charge: Tsh 30,000
✔️ Fremu kubwa – inafaa kwa biashara kubwa
✔️ Eneo zuri lenye wateja wengi
✔️ Karibu na barabara kuu (rahisi kufikika)
📞 Wasiliana sasa: 0678512666















