Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
2 days ago
Sh. 1,500,000 per month
Aina
Duka
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA 🔥
Unatafuta sehemu bora ya biashara? Hii hapa nafasi adimu!
📍 Ipo Sinza – inatizama lami kabisa
💰 Bei: 1,500,000/= kwa mwezi
➕ Service charge: 30,000/= tu
✅ Eneo zuri sana lenye mvuto wa wateja
✅ Inafaa kwa biashara mbalimbali
✅ Muonekano wa kuvutia na rahisi kufikika
Usikose fursa hii ya kuwekeza sehemu yenye potential kubwa ya biashara!
📞 Call: 0787093748
