Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
13 hours ago
Sh. 400,000 per month
Aina
Duka
Maelezo
✨ FREM NZURI INAPANGISHWA – SINZA ✨
Unatafuta frem yenye mvuto na eneo zuri la biashara? Hii hapa imekufaa!
🔥 Frem nzuri sana yenye muonekano wa kuvutia
🔥 Ipo Sinza – sehemu yenye biashara nyingi na wateja wa kutosha
🔥 Inafaa kwa biashara yoyote (shop, ofisi, saluni n.k)
🔥 Mazingira rafiki kwa biashara kukua
💰 Bei: 400,000/= kwa mwezi
💼 Service Charge: 30,000/=
📞 Call: 0787093748
👉 Chukua hatua sasa – sehemu nzuri kama hii haikai muda mrefu sokoni!
