Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 900,000 per month

Aina

Duka

Maelezo

🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA 🔥

Unatafuta sehemu bora ya biashara? Hii hapa fursa adimu! 👇

📍 Eneo: Sinza
💰 Bei: 900,000/= kwa mwezi
🏢 Frem kubwa sana – nafasi ya kutosha kwa biashara yoyote
📌 Ipo sehemu nzuri sana ya biashara, yenye muonekano na mvuto kwa wateja

✔ Inafaa kwa:
• Shop kubwa
• Ofisi
• Salon / Barbershop
• Mini supermarket
• Biashara yoyote utakayochagua

💡 Service Charge: 30,000/=

📞 Call: 0787093748

Usikose nafasi hii – wahi kabla haijachukuliwa!