Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 250,000 per month

Aina

Duka

Maelezo

✨ FREM INAPANGISHWA – SINZA ✨

Unatafuta sehemu nzuri ya kuanzisha au kupanua biashara yako? Hii hapa nafasi adimu!

📍 Ipo Sinza, eneo zuri sana la biashara
💰 Bei: 250,000/= kwa mwezi
🏢 Frem nzuri sana, muonekano wa kuvutia
📈 Inafaa kwa biashara mbalimbali
💵 Service Charge: 30,000/=

Usikose nafasi hii ya kipekee kufanya biashara kwenye location yenye fursa kubwa!

📞 Wahi sasa: 0787093748