Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏪 FREMU INAPANGISHWA – SINZA
📍 Eneo zuri kwa biashara
💰 Kodi: TSh 400,000 kwa mwezi
Inafaa kwa biashara mbalimbali kama:
✅ Saloon
✅ Boutique
✅ Office
✅ M-Pesa/Tigo Pesa
✅ Duka la vipodozi na nyingine nyingi.
📞 Wasiliana: 0678512666
💵 Service Charge: TSh 30,000
Usichelewe, piga simu sasa kupanga kuiona!















