Duka linapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
📍 FREM INAPANGISHWA – SINZA 📍
Frem nzuri inapangishwa Sinza kwa bei ya Tsh 300,000/= tu kwa mwezi. Ipo mtaa mzuri sana wa biashara wenye mazingira mazuri na movements za kutosha kwa biashara yako.
âś… Inafaa biashara yoyote
âś… Eneo zuri la biashara
âś… Mazingira rafiki kwa wateja
âś… Service Charge: 30,000/= tu
📞 Call/WhatsApp: 0787093748















