Duka linapangishwa Sinza Madukani, Dar Es Salaam

Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
2 days ago
Sh. 400,000 per month
Aina
Duka
Huduma na Sifa
Umeme
Maelezo
🔥 FREM INAPANGISHWA – SINZA MADUKANI 🔥
Unatafuta sehemu bora ya biashara? Hii hapa nafasi yako!
📍 Frem kubwa na nzuri sana
📍 Ipo sehemu yenye muonekano mzuri na wateja wa uhakika
📍 Inafaa kwa biashara yoyote
📍 Inajitegemea umeme
💰 Bei: 400,000/= kwa mwezi
🧾 Service charge: 30,000/=
📞 Wahi sasa! Piga simu: 0787093748
