Duka linapangishwa Sinza Mori, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
📍INAPANGHISHWA FREM SINZA MORI
đź’°Kod400,000kwa mwezi
đź—“Malipo miezi 6
đź’ĽService charge 30,000
✍Eneo zuri la biashara
✍Mzunguko mzuri wa watu na magari
đź‘€Inaonekana vizuri rahisi kufikika
âś…Inafaa kwa biashara , salom boutique, duka, ofiso ndogo ,wakala n.k
Wasiliana nami 0685303121
🏌🏻‍♂️Wahi mapema nafasi Kama izi azikai















