Duka linapangishwa Survey, Dar Es Salaam

Survey, Ubungo, Dar es Salaam
21 days ago
Sh. 30,000
Maelezo
๐ฅ FREM INAPANGISHWA โ SURVEY (NEAR MLIMANI CITY) ๐ฅ
Unatafuta sehemu kali ya kufanyia biashara? Hii hapa deal la nguvu! Frem nzuri sana, muonekano wa kisasa na ipo eneo lenye movement kubwa ya watu โ biashara yako lazima ikue hapa.
๐ Location: Survey karibu na Mlimani City
โจ Frem safi na inavutia
๐งพ Service Charge: 30,000/=
๐ Call: 0787093748
Hii sio ya kukaa nayo sana โ wahi kabla haijachukuliwa! ๐





