Duka linapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 200,000 per month

Aina

Duka

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

Fremu inapangishwa bei 200000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, sifa ya hii fremu inatazama barabara ya lami na hipo sehemu ya mzunguko wa kibiashara sana sio ya kukosa ndugu wateja wetu, Location ya tabata kinyerezi dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo hii fremu