Duka linauzwa Sinza, Dar Es Salaam

Sinza, Dar Es Salaam
21 days ago
Sh. 2,500,000
Huduma na Sifa
Maelezo
🏪 DUKA LINAUZWA – SINZA 🏪
📍 Sinza
💰 Bei ya kuuza: TSh 2,500,000
🔥 Fursa nzuri ya kuanza au kuendeleza biashara yako!
Vinavyouzwa pamoja na duka:
✅ Air Conditioner (A/C)
✅ Makabati
✅ Meza ya Counter
✅ Kiti
✅ Mlango wa Kioo
✅ Taa
📌 Kodi ya fremu ni TSh 250,000 kwa mwezi (kodi imeisha).
✨ Duka lipo tayari kuhamishiwa mmiliki mpya na kuanza biashara mara moja.
📞 Wasiliana: 0678512666
🚨 Wahi sasa! Fursa kama hii haidumu sokoni kwa muda mrefu.









