Duka linauzwa Sinza, Dar Es Salaam

Sinza, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 20,000,000
Maelezo
🛍️ DUKA LA NGUO ZA WATOTO LINAUZWA – SINZA 🛍️
📍 Eneo zuri la biashara lenye wateja wa kudumu.
💰 Bei: TSh 20,000,000 (maongezi yapo)
🏪 Kodi ya fremu: TSh 500,000 kwa mwezi
✅ Kodi imelipiwa miezi 6 – unaanza biashara bila gharama ya kodi kwa sasa.
✨ Fursa nzuri kwa anayehitaji kuendelea na biashara ya nguo za watoto katika eneo lenye mzunguko mzuri wa wateja.
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kuja kuliona duka.










