Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 600,000 per month
Aina
Nafasi ya Biashara
Maelezo
🏢 FREM INAPANGISHWA – SINZA 🏢
Unatafuta eneo zuri la biashara? Hii hapa nafasi yako!
✨ Frem nzuri sana ipo Sinza, eneo lenye muonekano mzuri na lenye wateja wa uhakika
✨ Inafaa kwa biashara mbalimbali (duka, ofisi, salon, n.k)
✨ Ipo sehemu nzuri sana ya biashara – fursa ya kukuza kipato chako
💰 Bei: 600,000/= kwa mwezi
🔧 Service Charge: 30,000/=
📞 Call: 0787093748
Usikose nafasi hii – wasiliana sasa kabla haijachukuliwa! 🚀
