Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Sinza, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 700,000/month
Maelezo
π₯ FREM KUBWA INAPANGISHWA β SINZA π₯
Frem kubwa sana inapangishwa Sinza, ipo sehemu nzuri sana ya biashara na inatizama Shekilango Road moja kwa moja ππ’
βοΈ Muonekano mzuri na wa kisasa
βοΈ Eneo lenye biashara nyingi na wateja wa kutosha
βοΈ Inafaa kwa biashara yoyote
βοΈ Panafikika kwa urahisi muda wowote
π° Bei: Tsh 700,000/= kwa mwezi
π§Ύ Service Charge: 30,000/=
π Call:















