Tafuta

Frame ya Biashara inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000/month

Maelezo

📍FREM INAPANGISHWA – KINONDONI📍

Frem kubwa kabisa inapangishwa maeneo ya Kinondoni kwa bei ya 1,500,000/= tu kwa mwezi.
Ipo sehemu nzuri sana yenye mazingira bora ya biashara na movement ya kutosha. Inafaa kwa biashara yoyote au office.

✅ Frem kubwa na yenye nafasi ya kutosha
✅ Eneo zuri la kibiashara
✅ Biashara yoyote inaruhusiwa
✅ Mazingira mazuri na rahisi kufikika

💰 Bei: 1,500,000/=
🧾 Service Charge: 30,000/=

📞 Call: 0787093748