Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
FREMU SINZA – 600,000🔥
📍 Location nzuri (karibu na lami)
💼 Inafaa kwa biashara/ofisi
🚗 Mazingira salama
💧 Umeme na maji available
💰 Bei: 600,000
📞 Wahi sasa kabla haijachukuliwa!















