Frame ya Biashara inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Sinza, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 500,000/month
Maelezo
🔥 FREM KALI INAPANGISHWA – SINZA 🔥
Unatafuta fremu nzuri kwa ajili ya OFISI au DUKA? Hii ni nafasi nzuri sana! 👌
📍 Location: Sinza
💰 Kodi: TSh 500,000/= kwa mwezi
🏢 Fremu nzuri sana, ipo eneo zuri na lenye biashara
✅ Inafaa kwa Office, Duka na biashara mbalimbali
💵 Service Charge: 30,000/=
📞 Call/WhatsApp:
🔥 Usikose nafasi hii — piga simu sasa uje kuiona!















