Frame ya Biashara inapangishwa Sinza Makaburini, Dar Es Salaam

Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 1,000,000 per month
Aina
Frame ya Biashara
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara
Maelezo
FRAME INAPANGISHWA – SINZA
📍 Ipo Sinza Makaburini road
💰 Kodi: Tsh 1,000,000 kwa mwezi
🔥Malipo Miezi 6
✔️ Eneo zuri kwa biashara (duka, ofisi, saloon, n.k)
✔️ Inafikika kirahisi kutoka barabarani
✔️ Mazingira yenye biashara nyingi na watu wengi
📞 Wasiliana nasi: 0685303121
💵 Service charge: 30,000
Usikose nafasi – chukua frame yako Sinza leo!
