Tafuta

Frame ya Biashara inapangishwa Sinza Mori, Dar Es Salaam

Sh. 450,000/month

Maelezo

📢INAPANGISHWA FREME 📍SINZA MORI

💰Bei 450,000/= Kwa mwezi nipigie apa

📍Ipo sinza mori eneo zuri lenye biashara nyingi na muonekano wa kisasa

✅Inafaa kwa Salon, duka , Ofisi, boutique, na biashara nyingine mbalimbali

💵Malipo miezi 6

☎️0685303121

Wahi kabla haijachkuliwa nafasi kama izi azikai muda