Frame ya Biashara inapangishwa Survey, Dar Es Salaam
Survey, Dar es Salaam
20 days ago
Sh. 350,000/month
Maelezo
📍 FREMU INAPANGISHWA – SURVEY
🏪 Eneo zuri lenye mazingira mazuri ya biashara.
💰 Kodi: TSh 350,000 kwa mwezi
✅ Inafaa kwa biashara mbalimbali.
📞 Wasiliana: 0678512666
💵 Service Charge: TSh 30,000
Usikose nafasi hii—wasiliana sasa kabla haijachukuliwa!












