Tafuta

Guesthouse inauzwa Kigamboni Darajani, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

Maelezo

🏠 NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA – KIGAMBONI DARAJANI

🔥 FURSA NZURI YA UWEKEZAJI WA NYUMBA ZA KUPANGISHA! 🔥

Nyumba inauzwa Kigamboni – Darajani, ikiwa tayari ina wapangaji, hivyo mnunuzi anaweza kuendelea na biashara na kupata mapato baada ya kukamilisha manunuzi.

✨ SIFA ZA NYUMBA:
✅ Vyumba 11, vyote Master
✅ Mfumo wa nyumba za kupangisha
✅ Vyumba vyote vina wapangaji
✅ Kila chumba kinapangishwa kwa TZS 150,000 kwa mwezi
✅ Biashara tayari inaendelea

💰 BEI: TZS MILIONI 350
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.

📄 DOCUMENTS: Sales Agreement
💵 SERVICE CHARGE: TZS 30,000

📍 UMBALI:
📌 Mita chache kutoka Baba Alami
📌 Kilomita 3 kutoka Ferry
📌 Takribani mita 900 kutoka Daraja la Nyerere

🔥 INAFAA KWA UWEKEZAJI WA:
🏠 Guest House
🏢 Apartment za Kupangisha
🏨 Hotel
🏡 Airbnb
🛋️ Full Furnished Apartments

📈 FURSA YA MAPATO:
Kwa vyumba 11 × TZS 150,000, mapato ya upangishaji ni takribani TZS 1,650,000 kwa mwezi, ikiwa vyumba vyote vimepangishwa.

📞 WASILIANA NASI:
📍Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Cheka Kigamboni, Dar Es Salaam (4200 sqm)

Sh. 165,000,000

For Sale4 beds1 bath4,200 sqmhouse
Dalali Kigamboni mbavu