Tafuta

Guesthouse inapangishwa Zanzibar City

video thumbnail
Zanzibar, Zanzibar
23 days ago
Sh. 44,200/day

Maelezo

Je unatamani kupata lodges ndani ya Zanzibar City au Stone Town? Hizi hapa nimekuchagulia chache kwa sasa πŸ‘‡

πŸ“ Fahmi Lodge – Mtendeni
πŸ’° Bei kuanzia TZS 91,000

πŸ“ Spice Garden Lodge – Mbweni Road
πŸ’° Bei kuanzia TZS 49,400

πŸ“ Manch Lodge – Vuga
πŸ’° Bei kuanzia TZS 44,200

πŸ“ Garden Lodge – Kaunda Road
πŸ’° Bei kuanzia TZS 104,000

πŸ“ Safari Lodge – Malindi, Stone Town
πŸ’° Bei kuanzia TZS 98,800

✨ Chagua inayokufaa kulingana na budget na location yako!

πŸ“Œ Save hii post kwa matumizi ya baadae na share na rafiki yako anayepanga safari ya Zanzibar

πŸ“ž Kwa msaada zaidi: Call/WhatsApp 0659359393

Matangazo yanayofanana Zanzibar, Zanzibar