Nyumba inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
——
nyumba inapangishwa ipo kimara korogwe barabara ya zege
Master jiko full Ac
inajitegemea umeme na maji yanaflow ndani
ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
kodi 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
survey charge 30,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
###0688617926
###0655256419















