Tafuta

Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 130,000/month

Maelezo

MASTER mpyaa zipo 2 tuu zinapangishwa

KODI 130000 x6 wahi

Miter ya maji inajitegemea umeme wa2

NYUMBA ipo kimara mwisho km1.2 tuu

Usafili tax boda daladala uhakika muda wote

Galama za kupelekwa kuona 15k ukilipia utatoa mwez kwa dalali

#_

dalal silaa ubungo kimara

dalali_silaa_ubungo_kimara

@dalali_silaa_ubungo_kimara

View Listings
dalal silaa ubungo kimara