Nyumba inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
MASTER MOJA MZUR SANAA
@
Inapangishwa
@
Bei 200.000 kwa mwez
@
Mahali sinza pazur
@
Malipo miez 6 Na dalali 7
@
Inakua wazi tarehe 1/8/26
@
Rukisa kuona na malipo
@
Karibu Sanaa ofisni kwetu sinza LEGO
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya Sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687














