Nyumba inapangishwa Zanzibar

Maelezo
🌴 Unajua unaweza kusafiri hadi Zanzibar na kulala kwenye hoteli nzuri kabisa kwa Shilingi 150,000 tu za Kitanzania?
Ndiyo! Tunakuletea ofa ya kipekee:
🏨 Hoteli nzuri na yenye mazingira ya kuvutia
🍽️ Kifungua kinywa kimejumuishwa
🚢 Dakika 20 tu kutoka Ferry
✈️ Dakika 30 tu kutoka Uwanja wa Ndege
👫 Bei ni kwa watu wawili (2 pax) kushare chumba
Usikose nafasi hii ya kufurahia Zanzibar kwa gharama nafuu.
📞 Tupigie leo kwa maelezo zaidi na kufanya booking yako mapema!















