Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Maelezo
NYUMBA INAUZWA - KIGAMBONI, DAR ES SALAAM*
*Bei: TSh 180,000,000 /- Inayopunguzwa kidogo*
*Mahali: Kigamboni, Dar es Salaam*
Nyumba nzuri na ya kisasa, ipo eneo tulivu na salama. Inafaa sana kwa *makazi* na pia kwa *biashara* kutokana na eneo lake la kimkakati.
- *Matumizi Mbalimbali*: Makazi / Ofisi / Gesti
- *Eneo*: Sehemu nzuri, yenye upatikanaji rahisi wa usafiri na huduma
- *Mazingira*: Tulivu, salama na yenye maendeleo ya haraka
- *#NunuaSasa*
- *#BeiPoaKigamboni*
- *#MmilikiAnauza*
- *#NyumbaMpya*
- *#DealYaKigamboni*















