Tafuta

Nyumba inauzwa Mwera Msikiti Mzuri, Tanga

Mwera, Tanga
3 hours ago
Sh. 35,000,000

Aina

Nyumba

House for sale in Mwera

Ukubwa

440 SQM

Barabara ya Karibu

3m

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara
Retail Spaces

Maelezo

🏑 NYUMBA INAUZWA – MWERA MSIKITI MZURI, ZANZIBAR 🏑

πŸ’° BEI: MILIONI 35 TU!
Unatafuta nyumba kwa ajili ya makazi au uwekezaji wa muda mrefu? Hii ni fursa nzuri sana kwako!
πŸ“ Nyumba ipo Mwera Msikiti Mzuri, katika eneo tulivu na zuri kwa makazi na uwekezaji.
✨ NYUMBA INA:
πŸ”Ή Milango 4 ya maduka mbele
πŸ”Ή Kwa sasa nyumba ina wapangaji, hivyo tayari inaweza kukuletea kipato
πŸ”Ή Kiwanja kina ukubwa wa takribani mita 22 Γ— 20, sawa na karibu sqm 440
πŸ”Ή Kuna eneo la ziada ambalo bado halijajengwa na linaweza kutumika kwa ujenzi au kuzungushiwa fensi
πŸ”Ή Eneo lipo kwenye barabara ya ndani, na ni takribani line ya tatu kutoka barabara kuu
πŸ’Ό FURSA KWA WAWEKEZAJI
Hii si nyumba ya kuishi tuβ€”ni asset yenye potential ya baadaye. Unaweza kuendelea na wapangaji waliopo, kuendeleza eneo lililobaki, au kufanya maboresho kulingana na mpango wako.
Ni fursa nzuri kwa mtu anayehitaji:
βœ… Nyumba ya makazi
βœ… Nyumba ya biashara
βœ… Uwekezaji wa kupangisha
βœ… Asset ya muda mrefu kwa familia na kizazi kijacho
πŸ”₯ BEI NI MILIONI 35 TU!
πŸ“ MWERA MSIKITI MZURI – ZANZIBAR
πŸ“ž Wahi sasa kabla fursa haijaondok
πŸ“ž Wahi sasa kabla fursa haijaondoka
+255686230110
+255776109092

Matangazo mengine Mwera, Tanga