Kiwanja kinauzwa Goba Dangote, Dar Es Salaam sqm 1300
Goba, Dar Es Salaam
56 minutes ago
Sh. 200,000,000
Ukubwa
1300 SQM
Barabara ya Karibu
50m
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kinasifa nzuri, kinatamanisha sana. Kina full documents ✅️
Kiwanja kipo 📍Dar es salaam. GOBA DANGOTE. Njia ya Mbezi Beach Masana.
▪︎ Mita 50 kubwa lami.
▪︎ Kipo barabara ya mtaa yenye ZEGE Kutoka lami, haukanyagi vumbi.
▪︎ Ni CORNER PLOT.
▪︎ Kipo tambalale
▪︎ Mtaa mzuri..
FULL DOCUMENTS ✅️ HATI SAFI ✅️
SQM 1300
BEI: TZS 200 Million (Maongezi yapo)
Tupigie 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency















