Kiwanja kinauzwa Kibada Ushuani, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 HOT CAKE PLOT INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA (USHUANI) 🔥
📍 Location: Kigamboni – Kibada Ushuani, Dar es Salaam
📏 Ukubwa wa eneo: SQM 1,100
🧱 Kiwanja kimezungushiwa fence tayari
🛣️ Karibu sana na barabara kuu ya lami (mita chache tu)
🚧 Kinagusa barabara kubwa ya mita 36
🚗 Umbali:
* KM 7 kutoka Ferry
* KM 5 kutoka Kibada
* KM 3 kutoka Kibada Roundabout
💎 BONge LA KIPEKEE – HOT CAKE!
👉 Kinafaa kwa:
* Makazi ya kifahari 🏡
* Apartment 🏢
* Lodge / Hotel 🏨
* Biashara yoyote kubwa
✨ Eneo la kishua, lina potential kubwa sana ya uwekezaji
💰 BEI: TZS 175,000,000 (maongezi kidogo yapo)
⚠️ Service Charge: TZS 30,000
📞 Call/WhatsApp: +255614130017
#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kiwanjakinauzwa kigamboni kibada investment hotcake















