Viwanja vinauzwa Kibada, Dar Es Salaam (390 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
Sehemu tulivu ✅️
Eneo tambarare kabisa ✅️
Viwanja vinaanzia sqm 390 hadi sqm 1000✅️
Malipo ya installment yanaruhusiwa unaanza na 50%
Unalipa ndani ya miezi mitatu hela inayobakia
📞 0796042515
📞0758951458
Tupigie simu twende site kila siku
Meter 400 tu kutokea barabara ya Lami
↘️barabara za mtaa zimechongeka vizuri kabisa
Huduma za kijamii sio shida zetu
✅️maji
✅️umeme
✅️barabara
✅️hospital
✅️shule
Ni dk 25 tu kufikia Aiport karibuni sana
Square Meter 1 = Tsh 60,000 tu
Ofisi zetu zinapatikana
📍kibada -conerstone
#kitundarelini #plotforsaletz #viralreels #kigamboni #viwanjakigamboni















