Kiwanja kinauzwa Kigamboni Geza Block 18, Dar Es Salaam sqm 1450

Ukubwa
1450 SQM
Barabara ya Karibu
200m
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 KIWANJA KIKUBWA KINAPATIKANA KIGAMBONI GEZA BLOCK 18 🔥
📍 Eneo: Kigamboni Geza Block 18
📐 Ukubwa: Nusu Hekta (Sqm 1,450)
✅ Kimepimwa rasmi
✅ Kina Hati ya Wizara
✅ Eneo limezungushiwa fence
✅ Kipo kwenye mtaa mzuri na salama
✅ Kinagusa barabara kubwa ya mtaa
🚗 Ni mwendo wa mita 200 tu mpaka barabara ya lami
🌟 Kiwanja kipo katika eneo zuri sana kwa uwekezaji, kujenga makazi ya kisasa au miradi mingine.
Hakina mgogoro wowote, ni kisafi na tayari kwa matumizi.
💰 Bei: TZS Milioni 120 (Mazungumzo yapo)
📞 Wahi mapema kwa ajili ya kutembelea eneo.
📲 Huduma ya ushauri na ufuatiliaji wa mali: TZS 30,000
#dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment #creatorsearchinsights Kigamboni















