Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam sqm 840

video thumbnail
Sh. 95,000,000

Ukubwa

840 SQM

Huduma na Sifa

Hati
Uzio
Karibu na Barabara ya Lami
Is Surveyed Land

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA – KIGAMBONI KIBADA

📍 Kiwanja cha pili kutoka barabara ya lami

✅ Ukubwa: SQM 840
✅ Kimepimwa na kina Hati ya Wizara
✅ Kimezungushiwa fensi pande zote
✅ Kinafaa kwa uwekezaji, makazi, apartments au biashara nyingine

💰 Bei: TZS Milioni 95
🤝 Mazungumzo kidogo yapo.

📍 Umbali:
• Kilomita 9 kutoka Feri ya Kigamboni
• Kilomita 8 kutoka Daraja la Mwalimu Nyerere

Usikose fursa hii ya kumiliki kiwanja katika eneo lenye maendeleo makubwa na thamani inayoongezeka kila siku.

📞0769554221
📍Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio