Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)
Kinyerezi, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 17,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
400 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡✨ KIWANJA KIZURI KINAUZWA KINYEREZI DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 ✨🏡
Unatafuta sehemu nzuri ya kujenga makazi yako au kufanya uwekezaji wa apartments? Hiki hapa! 👇
📍 KINYEREZI MWISHO
📐 Sqm 400
✅kiwanja kina fully Documented
✅Njoo ufunje ujenge Apartments kali
✅Tambarare kabisa
✅Huduma za kijamii zipo Kama umeme,shule,masoko,
✅Neighborhood nzuri sana
💰 BEI NI 17 million Tu
Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji wa uhakika! 🔥
📞 Muhitaji piga:















