Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam







Madale, Ubungo, Dar Es Salaam
5 months ago
Sh. 50,000,000
Maelezo
SQM 759, BEI 50M, mazungumzo, KINA HATI MILIKI
Kipo barabara kubwa ya mtaa na mtaa mzuri sana wa kishua
Ukubwa-sqm 759
Umiliki-hati miliki
Bei-ml 50 maongezi
Location- madale polisi
Umbali-km 1.8 kutoka main road madale polisi
0745559598
