Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi Kibaga, Dar Es Salaam (1136 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
Sh. 180,000,000

Maelezo

Kiwanja kizuri sana kinauzwa bei milion 180, ukubwa wa kiwanja square meter 1136, eneo hii ya kiwanja limepimwa tayari na hati ipo, eneo zuri sana na tambalale sana, pia kinatazama barabara ya mtaa, pia kiwanja hii ipo mtaa wa kishua sana sasa karibuni, Location ya tabata kinyerezi kibaga songas dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 50000

Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam

Matangazo yanayofanana Tabata, Dar Es Salaam