Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Masdonia, Dar Es Salaam sqm 900

video thumbnail
Sh. 55,000,000

Ukubwa

900 SQM

Barabara ya Karibu

5km

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA MASDONIA πŸ“

Unatafuta eneo zuri la makazi au uwekezaji? Hii hapa fursa adimu ndani ya Tabata Segerea – Macedonia πŸ”₯

πŸ“Œ Location: Takriban dakika 5 kutoka main road (lami)
πŸ“ Ukubwa: Sqm 900
πŸ’° Bei: Milioni 55tu

Sifa za Kiwanja:

βœ… Barabara nzuri – panafikika bila shida
βœ… Linafaa kwa makazi binafsi (ujenge nyumba yenye nafasi ya kutosha)
βœ… Linafaa kwa kujenga apartments au miradi ya uwekezaji
βœ… Eneo linakua kwa kasi
βœ… Huduma zote za msingi zipo (umeme, maji, shule, biashara n.k.)
βœ… Mazingira mazuri na biashara zinaendelea muda wote

Hapa sio pa kujiuliza mara mbili ❗ Ni sehemu yenye future kubwa kwa makazi na uwekezaji.

🎯 Viewing fee: 30,000/=
πŸ“ž Muhitaji piga simu tufanye biashara leo!

Dalali wako Wakishua – Miliki Kesho Yako Leo! 🏑✨