Mgahawa unapangishwa Mikocheni, Dar Es Salaam
Huduma na Sifa
Maelezo
🍽️ ENEO LA MGAHAWA LINAPANGISHWA – MIKOCHENI 🔥
Unatafuta eneo zuri la kuanzisha mgahawa au biashara ya chakula? Hii nafasi inaweza kuwa yako! 😍
📍 Mikocheni – jirani na Kairuki Hospital
💰 Kodi: 300,000/= kwa mwezi
✨ Eneo zuri kwa biashara ya mgahawa na huduma za chakula
📌 Ipo sehemu yenye mazingira mazuri kwa biashara
💵 Service Charge: 30,000/=
📞 CALL:
🔥 Usiache nafasi ipite — njoo uanzishe biashara yako Mikocheni!
#Mikocheni #Mgahawa #EneoLaBiashara #FremInapangishwa #Biashara DalaliChidy PataFremYaNdotoYako















