Nyumba inapangishwa Goba Tegeta A, Dar Es Salaam
Goba, Dar Es Salaam
1 hour ago
Sh. 250,000/month
Aina
Nyumba
Barabara ya Karibu
15minute
Huduma na Sifa
Maelezo
🏠 KWA KODI: GOBA TEGETA A
Kodi: Tsh 250,000/= kwa mwezi
🚶 Dk 15 kutoka lami kwa kutembea
Nyumba mpya, safi na yenye feni
- Vyumba vya kutosha
- Sakafu za tiles
- Madirisha ya vioo na grill za usalama
- Sink ya nje + Eneo la kufulia
- Tanki la maji lipo
- Fence + Gate ya chuma
- Mazingira tulivu
Wasiliana sasa: 📞















